Friday, 29 November 2013

THE GREATEST CREATURE UNDER THE SUN


All creatures on and above the surface are God’s creation, where every creature has different level of intelligence, bees are the only insect that have been given such intelligent which is above human being in some circumstances, let us take a simple example of the way bees adheres to division of labor, and the accuracy of the end result, while each member of the group work independent. Most amazing craft of bees is the power to Make Honey, where they collect pollen from every kind of flowers, and most of these pollens are collected from trees which have high healing effect.
                                                                      
  


Raw honey is more than food, drink, medicine and cosmetic this makes raw honey to have multipurpose function to human being. Every human being needs to be healthy regardless of age, gender, color or nationality.

Knowing that November is a diabetic month, we decided to write this article as among the effort to reduce if not to eliminate the diabetic problem in the world. Most people get diabetes unknowingly, among courses are: excessive use of sugar, Sanjay Basu assistant professor of medicine at Stanford Prevention Research Center said Sugar appears to play a prominent role to diabetes risk. The other course is overweight and obesity which can be course by non-sugar component food supply, such as fiber, fruit, meat, cereals and oil.  
                                                                      
Diabetic Month, Tanzania
 
Clinical studies have shown that pure honey (raw honey) does not raise blood sugar levels quickly as sugar; it also requires lower levels of insulin compared to regular sugar. From this concept raw honey is healthier choice for diabetics than sugar, however it depend to the patient, it better to consult your Doctor before. But many people who are diabetic and have been using raw honey testified the goodness of honey into their lives.  

According to several researches undertaken, there are a lot of benefits of using raw honey.  Here are 14 usages.

1.      Alternative to sugar

Use honey as alternative to sugar, use honey into your tee, milk and the alike, unlike sugar honey requires little insulin which is safe for your health especially nowadays where there a high diabetic problem in our families. For instance use two table spoon of honey a cup of tea and one for cup of milk.  

      2.      Wound treatment

Because of its antibacterial properties honey has been used for centuries to treat wounds and help prevent infection.

3.      Soothing a Sore Throat and ease your cough

Raw honey is well known for being the perfect cold remedy. A blend of raw honey and fresh lemon juice can be taken as needed to treat a sore throat or cough. Just take teaspoon of honey mix with a teaspoon of lemon juice, when use it will help you Honey is an excellent natural alternative to cough medicine as it can reduce cough and sooth that sore throat.

4.      Preventing Allergies

Taking a few teaspoons of local, raw honey per day before and during allergy season can prevent your allergy symptoms. The honey should be raw honey not any other honey. Raw honey has a higher likelihood to contain triggers for your allergy symptoms.

5.      Sunburn

If you get sunburn, you can apply a thin layer of honey to help the skin heal.

6.      Skin condition

Applied as a spot treatment at night, honey will improve your skin’s appearance in little time.

7.      Upset stomach

Take a teaspoon or two to help fight indigestion.

8.      Mineral Benefits

Raw honey contains several minerals that the body needs including Potassium, Magnesium, Zinc and Iron.

9.      Vitamins

Honey naturally contains vitamins B2, B3, B5, B6 and vitamin C.

10.  Antibacterial

Raw honey is antiseptic which means it prevents the growth of disease-causing microorganisms.  Used topically, unlike other antiseptics it has no side effect.

11.  Boost your athletic performance

Don't waste your money on commercial energy gels that contain food additives and artificial coloring. Research has shown honey is effective for improving athletic performance. A teaspoon of raw honey before aerobic activity can provide an energy boost plus a variety of important nutrients.

      12.  Treat minor cuts, scrapes and burns

Raw honey is an ancient remedy for cuts, scrapes and burns due to its natural antibacterial properties. Simply clean the area, dab on a small amount of raw honey, and wrap as normal. Change wrapping at least once daily until the area is healed. The honey may also help to reduce scar formation.

        13. Improve your sleep

A spoonful of honey before bed (by itself or in a cup of warm herbal tea) is a natural sleep remedy that can help you relax and fall asleep faster.

      14. Enjoy a honey facial

Massage a teaspoon of raw honey into your face and let it sit for 10-30 minutes before rinsing with cool water. This simple honey mask can smooth your skin, fight wrinkles, improve skin tone, reduce redness, and help with blemishes.
Do not use any honey, use raw honey from trusted farmers or trusted wholesalers. We do emphasize on Pure Natural Honey (Raw Honey) because of its power to deal with human sufferings.
                                                                           
                                               Pure Natural Honey (Raw Honey)
God created bees to serve human being but very few people understand this concept. It is never too late; even if you were ignorant you can change now and start using honey for the betterment of your health.

The author of this article is not a Doctor or clinical officer and health news the content based on different researches done by Doctors, clinical and health institutions.

Sources for this Article includes

Saturday, 16 November 2013

ZIJUE FAIDA ZA ASALI

                                                         

ZIJUE FAIDA ZA ASALI


Asali imekuwepo toka enzi za mababu zetu lakini watu bado hawajaelewa umuhimu wa kutumia asali, hasa Asali Halisi (Asali Mbichi). Watu wengi wamekuwa wakipata shida za kiafya kutokana na matumizi mabaya ya vyakula, ikiwemo uvIvu wa kufanya mazoezi. Asali ni mkombozi wa matatizo mengi ya kiafya yanayomsumbua mwanadamu;
                                                                           

Wataalamu wa afya waliofanya utafiti kuhusu asali na uwezo wa kupunguza unene walibaini kwamba, muda wa saa nne za mwanzo za usingizi, asali itayeyusha mafuta mengi mwilini sawa na kufanya mazoezi makali. Tumia asali vijiko 2 vya chai kila unapokwenda kulala, ni vizuri zaidi tiba hii ikaambatana na kufanya mazoezi kiasi. Umuhimu wa asali kwenye tatizo la unene ni uwezo wake wa kuyeyusha mafuta mwilini kwa haraka ukiwa umelala na wakati huo huo kuupa mwili nguvu. Hii ni kwa tatizo la unene, lakini unaweza kutumia asali kwa matumizi mengine.
                                         
                                      


ASALI MBICHI(ASALI HALISI), ZAO LA TANZANIA

Eben-Ezery Mende kwenye Jambo Leo, Jumamosi ya tarehe 11 Mwezi wa Tano, 2013 aliweza kueleza mambo mengi kuhusiana na umuhimu wa Asali na hasa Asali Mbichi;

Unaweza kutumia asali na mdalasini kwa kuchanganya, umoja huo umebainika kusaidia kupunguza uzito. Mchanganyiko huo unatakiwa uwe wa asali na unga wa mdalasini. Baada ya kuchanganya vizuri asali na mdalasini Utapata kinywaji kama ilivyo vinywaji vingine ambapo utatakiwa kuchanganya asali, mdalasini na maji ya moto.

Ukivichanganya vitu hivyo ni tayari kwa matumizi na hapo unapaswa kunywa mara mbili kwa siku. Chukua nusu kijiko cha unga wa mdalasini (kijiko kidogo cha chai) kijiko kimoja cha asali  na kikombe kimoja cha maji yaliyochemka.

Hatua ya kwanza ni kuchanganya maji moto na unga wa mdalasini, koroga hadi uchanganyike vizuri kisha funika na uache muda wa nusu saa ili maji yapoe. Baada ya maji kupoa, weka asali kijiko kimoja kisha koroga tena hadi mchanganyiko uwe kama kinywaji.

Asilimia 98 ya watu duniani wanafahamu vema kwamba mojawapo ya silaha ya ajabu katika kupigana na magonjwa na matatizo yatokanayo na uzee ni kwa kutumia asali.

Utafiti mpya umeonesha uwezo wa asali huongezeka maradufu ikichanganywa na mdalasini katika kutatua tatizo la uzito na kumfanya mtu kuwa na uwezo mkubwa wa fikra na kumbukumbu.

Uchunguzi ufanywao na Jarida la World News uliohusu tiba, wataalamu wa dawa zitokanazo na mimea na kijarida cha afya na lishe, imeonekana kuna umuhimu wa asali na mdalasini kwakuwa mchanganyiko huo ni dawa ya kusisimua iletayo afya bora.

Pia asali inatatua tatizo la ugonjwa wa viungo na uvimbe ambapo wataalamu wa lishe wanapendekeza kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja cha chai chenye mdalasini na kuchua sehemu zilizohathirika.

Tiba hiyo inaanza kuonesha matunda yake kwa kupata nafuu dakika moja baada ya kutumiwa.

Kama hiyo hutaimudu unashauriwa kutengeneza chai kikombe kimoja chenye maji ya moto, weka vijiko vya chakula viwili vya asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini kisha unywe asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.

Utafiti uliofanyika hivi karibuni na Chuo Kikuu Copenhagen, madaktari waliwapa wagonjwa 200, syrup mchanganyiko wa kijiko kimoja cha chai cha asali na kimoja cha mdalasini kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa walipata ahueni.

Hata hivyo imebainika kwamba asilimia 73 ya walioripotiwa kupata ahueni kubwa ya maumivu na ongezeko katika kufanya shughuli kama kujongea na kutembea vema.

Mbali ya faida nilizozieleza awali pia katika urembo asali hutumika na hapa unaweza kuitumia kwa kulinda kukatika kwa nywele.

Asali ikishachanganywa na mdalasini na mafuta vuguvugu ya olive, hutoa kichocheo cha kuotesha nywele kinachotumika katika dawa ya Dork. Mchanganyiko huo vuguvugu unapakwa kwa kusugua kichwani na kuachwa kwa dakika 15.

Tiba nyingine inayotokana na asali ni ukungu wa miguuni ambapo unatakiwa kuchanganya kijiko kikubwa cha mezani cha asali, vijiko viwili vya mdalasini. Paka sehemu zilizoathirika usiku kwa muda wa nusu saa, kisha safisha kwa sabuni na maji. Tatizo litakwisha baada ya wiki moja.

Hili nalo ni kubwa ambalo asali hutumika kulitibu ambalo ni maambukizi kwenye kibofu cha mkojo.

Chukua glasi ya maji vuguvugu yaliyochanganywa na vijiko viwili vya chai vya mdalasini na kijiko kimoja cha chai cha asali huondoa bakteria kwenye kibofu. Pia unaweza ukatumia juisi ya cranberry badala ya maji ikiwa ambukizo la kibofu litakuwa sugu.

Mtu mwenye maumivu ya jino anaweza kuchanganya sehemu tano za asali na sehemu moja ya mdalasini na tumia kwa maumivu ya jino kwa kudondoshea kwenye jino au meno yaliyoathirika hadi maumivu yatakapotoweka.

Saladi ya kupaka vidonda iliyochanganywa na asali na mdalasini kwenye chai ya raspberry nyekundu ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu makali ya vidonda vitokanavyo na kulala muda mrefu.

Hizo ni baadhi tu ya faida za asali lakini kila tatizo katika mwili wa binadamu lina nafasi ya kutumia asali kwa kuchanganya  chakula au kimiminika kingine na mgonjwa akapona kabisa ugonjwa unaomsumbua.

Mwandishi wa safu hii si daktari wala muuguzi bali yanayoandikwa yanatokana na tafiti, vyanzo vya habari kwa ushirikianao na wataalamu wa afya ya binadamu.



Ukihitaji Asali Mbichi (Asali Halisi), waweza kutupata,



You Can Find Us,

Mayfair Plaza-Central Building,

Mwai Kibaki Road,

Dar es Salaam – Tanzania.

Cell : +255 767 510 564 / 688 510 564 

Email : recafotz@gmail.com. 

 Blog : PureNaturalHoney-AsaliHalisi.blogspot.com